Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA: Concept ya kijiji cha Yanga kitakavyokuwa Kigamboni

on

Septemba 28 2016 mwenyekiti wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans Yusuph Manji aliamua kuigawia klabu hiyo eneo lenye ukubwa wa heka 715 lililopo Geza Ulole Kigamboni kwa ajili ya kujenga uwanja na kituo cha kukuzia vipaji.

Eneo hilo ambalo lilikabidhiwa na wasaidizi wa Manji mbele ya waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba na mama Fatma Karume lilipewa jina la ‘Kijiji cha Yanga‘, leo October 6 2016 wametoa picha ya wazo la muonekano wa juu wa kijiji hicho kitakapokamilika kitakavyokuwa kinaonekana.

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement