Top Stories

MWANZO MWISHO: Kingunge asimulia alivyong’atwa na mbwa wake

on

Mwanasiasa Mkongwe nchini Mzee Kingunge Ngombale Mwiru leo January 18, 2018 amemsimulia Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad jinsi tukio la yeye kung’atwa na mbwa wake lilivyotokea.

Mzee Kingunge amesema mbwa wake hawajamzoea na kuna kijana ambaye uwa ndo anashughulika na mbwa hao na akitaka kutoka asubuhi uwa anahakikisha mbwa hao wamefungiwa ndipo utoka kwenda katika shughuli zake.

VIDEO ILIYOREKODI MAZUNGUMZO YA KINGUNGE NA MAALIM SEIF LEO AKIWA KITANDANI

 

Soma na hizi

Tupia Comments