Tangaza Hapa Ad

Michezo

Kikubwa alichojifunza Cristiano Ronaldo katika soka, kuhusu Messi je?

on

Mshambualiaji wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo jina lake limegusa tena headlines baada ya kufanya mahojiano na Coach Magazine na kuongea mambo kadhaa kuhusu soka, katika interview hiyo Ronaldo kazungumza alichojifunza katika soka na kamuongelea mpinzani wake Lionel Messi.

Qn. Kitu gani kikubwa ambacho mchezo wa mpira wa miguu umekufunza?

Ans. Kutumia mawazo hasi ya watu wanaokupiga kukuhamasisha, kiukweli nawahitaji haters kwa sababu wamenisaidia kufanikisha kila kitu nilichofanikiwa.

Qn. Kuhusu Lionel Messi?

Ans. Kuna heshima kubwa sana kati yangu na Lionel Messi, lakini vyombo vya habari vinapenda tuonekane kama tunaupinzani mkubwa sana lakini hatuna upinzani huo, haina maana kama sisi ni marafiki wa karibu sana lakini kuna heshima kubwa kati yetu

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement