Airtel TZ - Ad
Ads Separator
Clouds - Tunakufungulia Dunia
Home » Zaidi » Stori Pekee » Bibi wa miaka 116 kwenye Headlines na ujumbe wake kwa Rais Barack Obama…

January Makamba - Tanzania Mpya

Bibi wa miaka 116 kwenye Headlines na ujumbe wake kwa Rais Barack Obama…

bibiGertrude Weaver ameingia kwenye kitabu cha kumbukumbu dunia baada ya kuwa mtu mzee kuliko wote duniani kufuatia kifo cha mkongwe Misao Okawa aliyefariki jana ambaye alikuwa raia wa Japan.

Bibi huyo raia wa mji wa Arkansas, Uingereza ameingia kwenye orodha hiyo akiwa na miaka 116 na Julai 4 mwaka huu anatimiza miaka 117.

Mbali ya kuwa na umri mkubwa kuliko wote,Weaver ametoa ujumbe kwa rais wa Marekani Barack Obama kuwa anamuomba aweze kuhudhuria kwenye siku yake ya kuzaliwa kwa sababu alichangia kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Marekani kwa kumpigia kura mara mbili.

Alizaliwa katika mji wa Arkansas mwaka 1898.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tags :
Previous post link
Next post link
Scroll To Top