Airtel TZ - Winky Music
Ads Separator
Clouds - Tunakufungulia Dunia
Home » AyoTV » AyoTV: Kuhusu Bibi Bomba kudhalilisha mabibi – Ruge Mutahaba atoa ufafanuzi

January Makamba - Tanzania Mpya

AyoTV: Kuhusu Bibi Bomba kudhalilisha mabibi – Ruge Mutahaba atoa ufafanuzi

7
Mapema wiki hii zilibuka tuhuma kwamba kipindi cha Bibi Bomba kinachorushwa katika kituo cha Clouds TV kimekuwa kikidhalilisha akina bibi wanaoshiriki katika shindano hilo la Bibi Bomba. Ayo TV ilipata nafasi ya kufanya mahojiano na mkurugenzi wa ufundi na uzalishaji wa Clouds Media Group Bwana Ruge Mutahaba kuhusiana na tuhuma hizo. Tazama hapa…………….

Tags :
Previous post link
Next post link
Scroll To Top