DSTV

Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VIDEO: Billnass alivyochana kwenye Graduation yake leo C.B.E

on

Leo November 11, 2017 Msanii wa Bongofleva Staa wa hit singe ‘sina jambo’ Billnass amehitimu masomo yake kwenye chuo cha C.B.E Dar es salaam ambako alikua akichukua Degree ya Procurement and Supplies Management…. wakati wa mahafali alipewa nafasi kidogo ya kuchana mtazame hapa chini

DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOMUITA ZARI KWENYE STAGE YA WHITE PARTY….

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement