Tangaza Hapa Ad

BreakingNews

Picha 5 nilizotumiwa baada ya tetemeko la ardhi kanda ya ziwa Victoria

on

Tetemeko la ardhi limeripotiwa kutokea kwenye eneo la ukanda wa ziwa Tanzania na kutikisa katika miji mbalimbali ikiwemo Geita, Mwanza na Bukoba.

Wakati millardayo.com inaendelea kufatilia taarifa zaidi za uhakika, hizi ni baadhi ya picha zilizotumwa na Waandishi wa habari kutoka upande huo wa kanda ya ziwa.

bukoba-2

screen-shot-2016-09-10-at-5-34-55-pm

screen-shot-2016-09-10-at-5-35-02-pm

screen-shot-2016-09-10-at-5-35-16-pm

bk-4

MSIKILIZE MWANDISHI WA HABARI KUTOKA BUKOBA AKIONGELEA TETEMEKO LA ARDHI KWENYE MKOA WA KAGERA.

ULIIKOSA YA TUNDU LISSU AKIMJIBU PROFESA LIPUMBA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUITAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement