Premier Bet

Top Stories

Basi la Arusha Express lateketea kwa moto Asubuhi hii ( picha )

on

Kabla kwanza ya kutaka kufahamu chanzo cha ajali, kauli za sasa za Mashuhuda kutoka kwenye eneo la ajali zinasema kila Abiria alipatwa na kiwewe baada ya Basi hilo kushika moto na kuteketea kabisa muda mfupi tu baada ya safari kuanza.

Basi hili la Arusha Express ambalo hufanya safari zake kati ya Bukoba na Arusha limeteketea kwa moto kwenye eneo la Kibeta ndani ya Manispaa ya Bukoba ikiwa ni muda mfupi tu baada ya kuanza safari yake kuelekea Arusha, Mashuhuda wanasema hakuna aliejeruhiwa wala kupoteza maisha… millardayo.com inaendelea kufatilia zaidi

TBT: MELI YA TITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU, BONYEZA PLAY HAPA CHINI

VIDEO: MABASI YA ABIRIA YANAYOTUMIA UMEME BADALA YA MAFUTA CHINA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments