Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Jukwaa atalotumbuiza Chris Brown, Wizkid, Vanessa Mdee na Alikiba leo Mombasa

on

October 8, 2016 historia ya burudani itaandikwa katika viwanja vya Golf Club October 8, 2016 Mombasa Kenya ambapo mwimbaji staa kutoka Marekani, Chris Brown atatoa burudani ya nguvu ambapo wengine walioalikwa ni Wizkid wa Nigeria, Alikiba na Vanessa Mdee wa Tanzania na Navio wa Uganda.

Itazame hii video hapa ujionee maandalizi ya jukwaa hilo

ULIIKOSA HII YA MDUNDO WA BARAKA NA ALIKIBA ‘NISAMEHE’ ULIVYOKUWA UNATENGENEZWA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement