Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Huyu mtoto wa Whitney Houston si kaolewa aisee

on

mt3Stori inaamplfy kwamba mtoto wa mwimbaji staa Marehemu Whitney houston, Bobbi Kristina amevunja mapendekezo ya familia yake ya kutoolewa na kijana ambae ni kama kaka yake, mshkaji ambae alilelewa toka mdogo na Whitney na wao wote kuishi nyumba moja.

Pamoja na kushupaliwa kutoolewa, Bobbi ambae ana umri wa miaka 20 amethibitisha kuolewa na boyfriend huyu aitwae Nick Gordon ambae wamekua mapenzini kwa miaka kadhaa ambapo sasa hivi kama wanajipanga kuja na show yao ya TV.

mt2

mt1

Tupia Comments

Advertisement