Tangaza Hapa Ad

AyoTV

MASWALI NA MAJIBU: Mawaziri wawili bungeni kuhusu majengo ya UDOM kutumika na Wizara

on

Moja ya swali lililofanya Wawaziri wawili kusimama bungeni lilitoka Mbunge wa viti maalum CHADEMA Suzan Mgonukulima aliyehoji sababu za Serikali kupeleka baadhi ya ofisi za Wizara zake katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) na kusababisha wanafunzi kuwa hatarini kurubuniwa kimapenzi.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement