Biko Ad
MPTV Ad
TIC Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

LIVE: Staa wa ManCity/Swansea yupo DSM anaongea na waandishi wa habari

on

Tanzania imepata ugeni kutoka kwa moja kati ya wachezaji soka wa Afrika wanaocheza soka la kulipwa England Wilfred Bony ambaye leo ameamua kukutana na waandishi wa habari, Wilfred Bony raia wa Ivory Coast amewahi kucheza vilabu mbalimbali Ulaya ikiwemo Man City na Swansea City anayoitumikia kwa sasa.

Haji Manara kapenda usiku wa VPL ila kafunguka wasiwasi wake

Soma na hizi

Tupia Comments