Tangaza Hapa Ad

Top Stories

BOMOABOMOA JANGWANI: Kinachoendelea baada ya wananchi kuondolewa

on

Jana wananchi waliokuwa wakiishi kwenye Bonde la Jangwani Dar es salaam waliondolewa na jiji kutokana na kuishi eneo hilo kinyume cha utaratibu. Haikuwa rahisi kwa bomoabomoa kutekelezwa eneo hilo baada ya wananchi kupambana na jeshi la polisi kuzuia bomoabomoa ambayo ilikuwa ikiendeshwa na Jiji katika eneo hilo.

Sasa leo AyoTV na millardayo.com zimefika eneo hilo kujua kinachoendelea ambapo zimeshuhudia wananchi wachache ambao wamebaki eneo hilo wakikusanya baadhi ya vitu vyao kwa ajili kuondoka na wengine wamejikusanya upande wwa pili wa barabara na askari polisi wakiwa wameimarisha ulinzi eneo hilo. Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama

Ulikosa hii ya Makonda kutumwa na JPM kuingilia kati Bomoabomoa DSM, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement