Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Pori la Segerea lamnyanyua Mbunge Bonnah Kaluwa Bungeni

on

February 7 2017 katika kipindi cha maswali na majibu bungeni kati ya wabunge waliopata nafasi ya kusimama kuuliza maswali yao ni pamoja na mbunge wa Segerea Bonnah Kaluwa ambaye aliomba serikali irudishe eneo la msitu wa Kinyerezi Segerea kwa ajili ya kujenga kituo cha afya pamoja na soko.

Majibu yakatolewa na Naibu waziri wa maliasili na utalii Ramo Makani

Unaweza kuipata yote kwenye hii video hapa chini….

ULIIKOSA HII FULL VIDEO: Ilivyokuwa mpaka Wabunge wa Upinzani wakatoka nje ?

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement