Airtel TZ Yatosha Ad
Ads Separator
Tecno Phantom5
Ads Separator
stmaryinternational Ad
Ads Separator
Nido Jiamini Ad
Ads Separator
DCB Insuarance Ad1
Ads Separator
Kamyu Ad
Ads Separator
Tangaza Hapa Ad
Ads Separator

General News

Ni mvua iliyonyesha kwa saa kadhaa tu lakini magari yamezama hivi Dar es salaam

on

Screen Shot 2014-03-28 at 4.45.21 PMUkimuuliza mwenyeji yeyote wa Dar es salaam (88.5 Clouds FM) ni sehemu gani anazozijua wanakaa watu wenye uwezo wa kifedha na hata baadhi ya viongozi wakubwa wa Serikali, basi lazima atakutajia na Mikocheni.

Pamoja na hilo, Mikocheni ni moja ya maeneo yanayojaa maji sana kipindi cha mvua Dar es salaam kama ambavyo unaona kwenye baadhi ya picha ya juu na hii inayofata hapa chini.

Sehemu nyingine ambazo zipo kwenye hizi picha hapa chini ni pamoja na Kinondoni na Kijitonyama.

Screen Shot 2014-03-28 at 4.45.29 PM Screen Shot 2014-03-28 at 4.45.37 PM Screen Shot 2014-03-28 at 4.45.47 PM Screen Shot 2014-03-28 at 4.46.01 PM Screen Shot 2014-03-28 at 4.46.12 PM Screen Shot 2014-03-28 at 4.45.12 PM Screen Shot 2014-03-28 at 4.45.04 PM

Dr Mwaka - Foreplan Clinic

You must be logged in to post a comment Login