Tangaza Hapa Ad

BreakingNews

BREAKING NEWS: Waziri wa Elimu wa zamani, Joseph Mungai amefariki Dunia

on

Aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu Tanzania, Joseph Mungai amefariki dunia jioni hii, taarifa za awali kwa mujibu wa kituo cha television cha ITV  zinasema amekutwa na umauti baada ya kuanza kutapika mfululizo, familia imedia kuwa tatizo hilo limemkuta baada ya kudaiwa kula kitu kibaya.

millardayo.com & Ayo TV zinaendelea kufatilia taarifa zaidi kuhusu msiba huo. R.I.P Joseph Mungai 

ULIKOSA HII YA MTOTO KUZUNGUMZIA KIFO CHA BABA YAKE MZEE SITTA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement