PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Top Stories

BREAKING: RC MAKONDA abaini utapeli mpya DSM ‘Wanatumia hati za nyumba’

on

Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda amezungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kuhusu utapeli mpya ambao umekuwa ukifanywa na baadhi ya watu ambao sio waaminifu kwakutumia hati za nyumba ambazo sio zao kujipatia mikopo.

“Kuna watu wanatumia hati ambazo sio za kwao kupata mkopo katika Benki, hatimaye mwenye nyumba anakuja kupigiwa mnada nyumba yake wakati sie yeye aliekopa benki, hii inatokana na Benki haikupata taarifa rasmi za mwenye nyumba” RC Makonda

Tazama jamaa wanavyocheza na Chatu na Cobra

Soma na hizi

Tupia Comments