Biko


Tangaza Hapa Ad

Breaking News

BREAKING: Utaratibu wa kulipa kodi za nyumba kwa miezi 6 au mwaka kupigwa Marufuku Tanzania

on

Moja ya habari kubwa kutokea Bungeni Dodoma leo November 17, 2017 ni pamoja na kauli ya Serikali kuhusu kubadilisha utaratibu kwa Wapangaji wa nyumba kutotakiwa kulipa kodi za muda mrefu kama miezi sita au mwaka.

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angeline Mabula alitolea ufafanuzi baada ya kuulizwa swali na Mbunge wa viti maalum CCM Halima Bulembo aliyehoji Serikali ni lini itabadilisha sheria hiyo.

TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI KUTAZAMA NAIBU WAZIRI AKITANGAZA MPANGO HUO BUNGENI

MAGAZETI LIVE: BALOZI AELEZA ALIVYOMSAFIRISHA DR. SHIKA URUSI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI TUKUSOMEE ZOTE KUBWA ZA LEO

MTANZANIA ANAEISHI URUSI KAZUNGUMZA KUHUSU DR. LUIS SHIKA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMSIKILIZA MWANZO MWISHO

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement