Biko


Tangaza Hapa Ad

Breaking News

BREAKING: Mkurugenzi Benki ya TIB na Wakili Ringo wafikishwa Mahakamani

on

Ni habari kutoka Mahamakani Kisutu Dar es salaam leo November 20 2017 ambapo Mwandishi wa habari za Mahakama Mika Ndaba anaripoti.

Taarifa ya sasa ni kwamba Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB), Peter Noni na Wakili maarufu wa kujitegemea Dr. Ringo Tenga wamefikishwa katika Mahakama hiyo ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi.

Taarifa kamili kuhusu kinachoendelea kwenye kesi hiyo utazipata baadae hapahapa millardayo.com na AyoTV inayopatikana kwenye Youtube ya “millardayo

MAGAZETI LIVE: MKE WA LISSU AFUNGUKA WALIOFANYA SHAMBULIO, MSAFARA WA NYALANDU WAPIGWA MABOMU…. SOMEWA ZOTE HAPA CHINI

MAGAZETI LIVE: SAA 120 ZA LULU GEREZANI, MUGABE MAJI YA SHINGO…. SOMEWA ZOTE HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement