Airtel TZ - Ad
Ads Separator
Clouds - Tunakufungulia Dunia
Home » Zaidi » BreakingNews » Picha 4 za Helikopta waliyopata nayo ajali Makamu wa Rais na mkuu wa mkoa DSM

January Makamba - Tanzania Mpya

Picha 4 za Helikopta waliyopata nayo ajali Makamu wa Rais na mkuu wa mkoa DSM

Screen Shot 2014-04-13 at 1.55.22 PMViongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Gharib Bilal, Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick na kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova walianguka na Helikopta hii asubuhi ya April 13 2014 kwenye uwanja wa ndege Dar.

Hitilafu ilisababisha helikopta kuanguka wakati ikipaa kuwapeleka kwenye maeneo mbalimbali yaliyoathirika na mvua zinazoendelea kunyesha ambapo hata hivyo walinusurika kifo isipokua majeraha madogomadogo tu.

Screen Shot 2014-04-13 at 1.55.45 PM

Screen Shot 2014-04-13 at 1.55.53 PMKama unataka ripoti kama hizi zisikupite, jiunge na familia ya millardayo.com kupitia twitter instagram na facebook kwa jina hilohilo la MillardAyo ili niwe nakutumia kila ripoti inayonifikia.

Screen Shot 2014-04-13 at 1.55.08 PM

Tags :
Previous post link
Next post link
Scroll To Top