Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Hussein Bashe kasimama tena bungeni, sasa hivi ni kuhusu muswada wa habari


Nakukutanisha na mbunge wa jimbo la Nzega mjini (CCM) Hussein Bashe ambaye alipata nafasi ya kusimama bungeni kuwasilisha maoni yake kuhusu muswada wa habari uliowasilishwa na Wizara ya habari, utamaduni na michezo chini ya waziri wake Nape Nnauye, mtazame Bashe kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Ulizikosa dakika 12 za Hussein Bashe na masikitiko yake kwa Wizara ya fedha? tazama hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement