Tangaza Hapa Ad

VIDEO BUNGENI: ‘Tusitake kurudi tulipotoka’ – Hussein Bashe


Bunge limeendelea tena leo February 3 2017 ambapo kazi kubwa ilikuwa ni Wabunge kujadili taarifa ya kamati ya kudumu ya Bunge ya utawala na serikali za mitaa pamoja na maoni na mapendekezo ambapo kati ya Wabunge waliopata nafasi ya kuwasilisha maoni yao ni Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe, mtazame kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Tazama Waziri mkuu Majaliwa, Freeman Mbowe na Dr. Tulia bungeni kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement