Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

“Ukitukana tusi moja namchomoa Kiongozi mmoja DSM” – Humphrey Polepole

on

Leo January 4, 2018 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amewatahadharisha Chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA) ndani ya mkoa wa Dar es salaam kuwa atamng’oa kiongozi mmoja wa chama hicho.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole amesema  baada ya madiwani wawili wa CHADEMA kuachia ngazi Mjini Iringa, ambapo ametoa sababu ya Madiwani hao kuhamia CCM kuwa ni kumuunga mkono President JPM.

“Leo Madiwani wengine wawili wamehama na kujiunga na CCM. Ukiwasikiliza kilichowaondoa ni Uongozi Mbovu na Ubabe pale Iringa. Nasikia wameambiwa “never outshine your master”. Mimi nilidhani “masta” ni wananchi kumbe ni “pasta”. Ukitukana tusi moja Kiongozi mmoja nachomoa DSM ” – Polepole

VIDEO: MEYA JACOB AFUNGUKA BAADA YA KUDAIWA KUPIGANA KATIKA UCHAGUZI DSM

KAULI YA CHADEMA TOKA NAIROBI KUHUSU MKE WA KENYATTA KUCHANGIA MATIBABU YA LISSU, BONYEZA PLAY KUSIKILIZA

 

Soma na hizi

Tupia Comments