Michezo

Rais wa Ghana ameagiza makamu wa Rais wa CAF akamatwe

on

Rais wa Ghana Akufo-Addo ameagiza akamatwe makamu wa Rais wa kwanza wa shirikisho la soka Afrika CAF Kwesi Nyantekyi ambaye pia ni Rais wa shirikisho la soka la nchini Ghana (GFA).

Akufo amefikia maamuzi ya kutoa agizo hilo kufuatia makala ya uchunguzi iliyofanywa ikimuhusisha Kwesi Nyantekyi kudaiwa kuhusika katika vitendo vya ulaghai.

Maamuzi hayo ya Akufo Addo kutangaza kukamakwa kwa Kwesi Nyantekyi yamewashitua wengi kutokana na mahusiano ya wawili hao ambapo kwa mujibu wa CITI FM ya Ghana inaeleza kuwa wana urafiki.

VIDEO: Wachezaji wa Simba SC baada ya kukabidhiwa Kombe la VPL

Soma na hizi

Tupia Comments