Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Alichokizungumza Canavaro kabla ya Yanga kucheza na Rayon Sports May 16

on

Club ya Dar es Salaam Young Africans leo May 15 2018 kuelekea mchezo wao wa pili wa Kundi D wa Kombe la shirikisho Afrika CAF dhidi ya Club ya Rayon Sports ya Rwanda kesho uwanja wa Taifa Dar es Salaam, nahodha wa Yanga Nadir Haroub Canavaro ameongea na waandishi wa habari.

Nadir ameeleza maandalizi yao kuelekea mchezo huo ukizingatia kuwa wanaingia uwanjani wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wao wa kwanza dhidi ya USM Alger nchini Algeria kwa kipigo cha magoli 4-0.

Aliyoyasema Samatta ameyatimiza, tutamuona Europa League 2018/19?

Soma na hizi

Tupia Comments