Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Top 20: Ngoma 20 kali zilizopangwa kwenye list leo February 11, 2018 (+video)

on

Leo February 11, 2018 Mtangazaji Mami Baby amesimamia Top 20 ya Clouds FM ambayo ilitumia dakika 120 kuzihesabu na kuzikamilisha nyimbo 20 zilizofanya vizuri wiki hii na kama haukupata time ya kusikiliza kupitia Radio nimekusogezea hapa chart yote millardayo.com.

Nafasi ya 20 Joh Makini – Mipaka

Nafasi ya 19 Saida Karoli – Omulilo

Nafasi ya 18 Moni Centrozone X Country Boy (MoCo) – Mwaaah

Nafasi ya 17 Vanessa Mdee – Bounce Ft. Maua Sama & Tommy Flavour 

Nafasi ya 16 Nyashinski – Hayawani

Nafasi ya 15 WIZKID – MANYA

Nafasi ya 14 Sauti Sol featuring Tiwa Savage – Girl Next Door 

Nafasi ya 13 Chege – Wafoo

Nafasi ya 12 Kassim Mganga | Dalila

Nafasi ya 11 Mafikizolo – Love Potion

Nafasi ya 10 Marioo – Dar kugumu

Nafasi ya 09 Christian Bella | Pambe

Nafasi ya 08 Dully Sykes – Bombardier

Nafasi ya 07 Ben Pol ft. Wyse – BADO KIDOGO

Nafasi ya 06 Post Malone – rockstar ft. 21 Savage

Nafasi ya 05 Jolie – Bado Mapema 

Nafasi ya 04 MwanaFA Featuring Maua Sama – Hata Sielewi

Nafasi ya 03 Nandy – Kivuruge

Nafasi ya 02 Jay Melody – Goroka

Nafasi ya 01 Aslay X Nandy – Subalkheri Mpenzi

Makamua kaelezea ujio mpya wa Wakali Kwanza, kaweka wazi kazi anayoifanya sasa

Soma na hizi

Tupia Comments