Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA 6: Migahawa maarufu inayopatikana Sinza, Dar es salaam

on

October 27, 2016 MillardAyo.Com inakuletea picha za Migahawa sita yenye umaarufu mkubwa katika eneo la Sinza jijini Dar es salaam. Japokuwa Migahawa hii iko kwenye mazingira ya wazi sana lakini inatajwa kuwa imekua na wateja wengi kutokana na huduma zake kuwa za bei rahisi na za haraka zaidi.

Mtu wangu leo nimepata nafasi ya kuitembelea Migahawa wakati wa asubuhi ikiwa haijaanza kazi, na hizi ni picha za maeneo hayo.

1

Mak Juice Sinza Afrika Sana

2

Instagram Take Away Sinza Kijiweni

3

Kwa Wapemba, Sinza Kijiweni

4

Nanos, Sinza

6

Rich Boy, Sinza Palestina

7

Take Away, Sinza Kwa Remmy

ULIMISS KUIONA VIDEO KUHUSU AY KUACHA KUWASIMAMIA STEREO NA OMMY DIMPOZ? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKEA  HAPA CHINI.

Tupia Comments

Advertisement