Fastjet
Serengeti Baloziz
NMB Account
BritishC-English
Home » Ent.

Category Archives: Ent. Subscribe!


Video mpya ya Barnaba aliyoonekana na mke wake ndio hii.

Hii single inaitwa ‘Wahaladee’ ambayo ni miezi kadhaa imepita tangu utoke rasmi kwenye Radio lakini July 25 2014 Watanzania wameletewa video yake ambayo imeongozwa na Nick Dizzle ambapo kingine kikubwa kwenye hii video ni mrembo alieigiza ndani yake, ni mke...
Read More »

Unaweza ku-enjoy na hizi movie kwa weekend hii ndefu.

Weekend hii inaweza kuwa ndefu kama sikukuu ikiwa ni Jumatatu. Zaidi ya ku enjoy muda wako na familia unaweza pia kwenda kuangalia movie hizi.
Read More »

Kaa nayo hii mtu wangu kwa ajili ya Eid pili pale Escape 1.

Dj Fetty kutoka kwenye kipindi cha XXL amekuandalia party ya nguvu kwa wewe mtu wa nguvu aliyeipa jina la Red Lipstick ambayo itakua Eid pili kwenye kiwanja cha kijanja Escape One hapo Mikocheni. Utakua kama mpambano fulani hivi kwani mbali...
Read More »

Mabibi na mabwana! huu ndio ujio mpya wa Ali Kiba na single zake mbili mpya ziko hapa

Najua mashabiki walikua wanaisubiria sana hii post ambapo good news zaidi ni kwamba Ali Kiba ameachia single mbili mpya kwa wakati mmoja na moja inaitwa “Mwana” na nyingine “Kimasomaso”. Tunamfahamu staa huyu kama mkali wa hit single kama Cinderella, Mapenzi...
Read More »

Kabla ya kutoka kwa video yake,Kingine kilichojitokeza kwa Barnaba.

July 25 Barnaba ametangaza kuwa ndiyo siku atakayotoa video yake ya Wahaladee ambayo imetengezwa kwenye ardhi mbili ya Tanzania na Kenya,Soudy Brown leo kaongea nae kuhusu msichana anayesemekana mpenzi wake kusimamishwa kazi alikokuwa anafanya kazi nyumbani kwa Wema Sepetu. 88.1...
Read More »

Ratiba ya Serengeti Fiesta 2014 imetoka mtu wangu

Fiesta ni tamasha linalowakutanisha wasanii mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania kwenye msimu wa mafanikio pamoja na mashabiki wao kila mwaka ambapo kwa mwaka huu kuna mikoa kadhaa imeongezeka. Kupitia show ya XXL, Sebastian Maganga ambaye ni Mwenyekiti wa...
Read More »

Kuhusu Mjane aliyefukuzwa nyumbani baada ya mazishi ya mumewe.

Kutoka kwenye Idara ya Hekaheka ina taarifa ya mjane aliyefukuzwa nyumbani kwa mumewe na ndugu wa marehemu zikiwa siku tatu baada ya mazishi ya mume wake,kanyang’anywa vitu kadhaa ikiwemo hati za nyumba na baadhi ya mali alizokuwa akimiliki na mumewe....
Read More »

Baada ya Kariakoo,hii ndiyo singo mpya toka Skylight Band.

Huu ni ujio mpya wa Skylight Band hii singo mpya inaitwa Dunda pasua twende imefanyika kwenye studio zao za Skylight Production ambazo walizizindua wakati wanatambulisha singo ya Kariakoo. Hapa nimekuwekea video na audio zote zimezipata kwa pamoja,Ungana na mimi kwenye...
Read More »

Kama ulisikia au kusoma kwamba Mama Diamond na Wema hawapatani.

Najua kuna stori nyingine huwa zinaandikwa alafu wahusika wakuu wanakuja kuziongelea baadae kwa kushangaa kilichoandikwa ambacho mara nyingi kinakua sio cha kweli. Stori ya Wema kutopatana na ‘mama mkwe’ yaani Mama mzazi wa Diamond ni miongoni mwa stori ambazo kuna...
Read More »

Mke wa T.I amerudi na hii single ya kwanza toka enzi zile za Xscape

Hii single imedondoka wakati bado headlines ni za moto kuhusu bondia Floyd Mayweather mapenzini na Tiny ambae ni mke wa rapper T.I
Read More »

Kilichoendelea kesi ya Mbasha Mahakamani July 23 2014, kakubali sentensi mbili tu.

KESI ya ubakaji inayomkabili mume wa Flora Mbasha ambae ni mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili Tanzania Emmanuel Mbasha (32), ilitajwa tena July 23 2014 katika mahakama ya wilaya ya Ilala ambapo Mbasha amesomewa tena mashataka yake huku akikubali sentensi...
Read More »

Mchekeshaji Kansiime anavyotengeneza pesa Kenya.

Kansiime Anne ni mchekeshaji kutoka Uganda ambae amesomea Sayansi ya saikolojia kwenye chuo kikuu cha Makerere Kampala Uganda ambako alianzia kuchekesha kama utani kusambaza video zake mitandaoni lakini kwa sasa anaingiza mamilioni baada ya kukubalika kwenye nchi za Afrika Mashariki...
Read More »
Scroll To Top