Serengeti Baloziz
NMB Account

Home » General News

Category Archives: General News Subscribe!


Use Facebook to Comment on this Post
Read More »

Ni zamu ya Dar es salaam kuipokea Kitchen party gala

Baada ya kuzunguka kwengine sasa ni zamu ya mkoa wa 88.5 Dar es salaam kuletewa ile kitchen party gala ambayo tayari imeonyesha mafanikio kwenye sehemu nyingine ilikopita. Use Facebook to Comment on this Post
Read More »

Tishio lingine walilotangaza Al shabab kwa nchi ya Kenya.

Tishio la kigaidi lina kodolea macho taifa la Kenya baada ya kundi la kigaidi lililo na makao yake makuu nchini Somalia kuachia video nyingine kwenye mtandao wa Al-Kataib wakitishia kutekeleza mashambulizi nchini Kenya wakati wowote. kwenye kanda hiyo msemaji wa...
Read More »

Zaidi ya watu 20 wamefariki papo hapo kwenye ajali ya basi la Luwule

Zaidi ya watu 20 wamefariki dunia papo hapo na wengine wengi kujeruhiwa baada ya Use Facebook to Comment on this Post
Read More »

Taarifa za watoto wawili kufariki wakicheza kwenye dimbwi la maji

Wanafunzi wawili wamefariki dunia wakati wakiogelea kwenye dimbwi la maji ya mvua. Wanafunzi hao wa darasa la pili katika shule ya msingi ya Goba jijini Dar Es Salaam ambao wametajwa kwa majina ya Frank Charles na Videson Peter wamefariki dunia...
Read More »

Hii ya Waumini kusafisha barabara ya Lami kwa sabuni kama hivi umeipata?

Ripota wa TZA nchini Kenya Julius Kipkoitch anaripoti kwamba wakazi wa jiji la Eldoret wamemfanya kila alieiona hii kuvutiwa na pengine kujua imekuaje wakafanya hivi kwa mara ya kwanza baada ya kujitosa na kupiga deki barabara ya lami ya Oginga...
Read More »

kama ulidhani wizi wa simu umezidi bongo tu, chukua hii ya Marekani.

Ni kawaida kupewa tahadhari kwamba bongo ukiacha simu yako ovyo kama kwenye kituo cha daladala, baa, kwenye daladala, hotelini, kwenye gari binafsi na sehemu nyingine yoyote inaweza kuibwa ndani ya dakika sifuri. Unaweza kuhisi labda hii tabia iko bongo tu...
Read More »

Stori sio mtoto kuibiwa, stori ni huyu Askari Polisi Mwanamke kuiba mtoto

Jeshi la polisi Mbeya limemkamata  Askari polisi mwanamke wa Dar es salaam kwa tuhuma za kumuiba mtoto  mchanga wa siku ambae aliibwa toka April 6 2014 kwa kushirikiana na baba mzazi. Ahmed Msangi ambae ni kamanda wa polisi Mbeya amesema...
Read More »

Jingine la Rais Mugabe kuhusu wanaopigia debe ushoga.

Kutana na sentensi chache zinazomuhusu mmoja kati ya Marais wenye umri mkubwa barani Afrika, Robert Mugabe wa Zimbabwe anaesifika kwa misimamo yake na sasa ametishia kuwafukuza kwenye nchi yake Wanadiplomasia wanaopigia debe mapenzi ya jinsia moja. Kwenye hotuba yake ya...
Read More »

Dakika 2 za Rais Jakaya Kikwete kuhusu wanaowasema vibaya Mwl Nyerere na Mzee Karume

Mijadala ya hapa na pale kuhusu utengenezaji wa katiba mpya imehusisha sana majina ya waasisi wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar Hayati Mwalimu Nyerere na Mzee Karume na hii imemgusa hata Rais Jakaya Kikwete ambae ameamua kutumia dakika zake mbili...
Read More »

Kumbe Nahodha wa kivuko kilichozama hakuwa kwenye usukani wakati inazama.

Taarifa bado zinazidi kutoka juu ya kile kivuko ambacho kilizama kikiwa na idadi kubwa ya wanafunzi,taarifa zilizopo ni kwamba msaidizi wa tatu wa nahodha wa kivuko kilichozama  anayeitwa Sewol ndiye aliyekuwa akiendesha kivuko hiko wakati kikizama. Uchunguzi wa kina umebaini...
Read More »

Labda ukiona hizi ajali za kweli zilizorekodiwa na Camera barabarani utajifunza

Ni kawaida kwa Madereva kukimbiza magari au kutokua makini wanapokuwepo barabarani hata kama walishawahi kushuhudia ajali mbaya za barabarani ambapo vyanzo vingi vimekua ni uzembe kama kuandika msg wakati wa kuendesha, kuongea na simu au ulevi. Zifuatazo ni video za...
Read More »

Scroll To Top