Airtel HomeWifi
Fastjet
NMB Bank - Lipa TRA Pitia NMB
Home » General News » Amplifaya Top10

Category Archives: Amplifaya Top10 Subscribe!


Stori 10 za AMPLIFAYA October 10 2014 ziko hapa tayari..

Amplifaya ni Countdown inayozikutanisha habari 10 kubwa za siku on CloudsFM Jumatatu mpaka Ijumaa saa moja usiku kutoka kwenye viwanja mbalimbali kama michezo, muziki, movies, maisha, siasa na mengine. Za October 10 2014 ndio hizi hapa chini…. Unataka stori kama...
Read More »

10 kubwa za AMPLIFAYA Oct 9 2014, Ronaldo, Uhuru Kenyatta, Fid Q, bibi aliefariki na mengine

Amplifaya ni show ambayo husikika kila Jumatatu mpaka Ijumaa on CloudsFM saa moja usiku ikiwa na mkusanyiko wa habari 10 kubwa za siku pamoja na stori nyingine za mitandaoni na good music. Hizi ndio stori 10 kubwa za Oct 9...
Read More »

Ulikua mbali na Radio? stori zote 10 za AMPLIFAYA Sept17 ziko hapa

Ratiba ya Fiesta Morogoro na Iringa weekend hii imebadilika kidogo, Ijumaa itakua Iringa kisha Morogoro ni Jumapili. #AMPLIFAYA #Sept172014 Sio kweli jiwe lililopo Gangilonga Iringa linazungumza ila lilikua likitumiwa na Watu wa zamani kutambika na kuomba. #AMPLIFAYA #Sept17 Vijana Ngwasuma...
Read More »

Stori 10 za AMPLIFAYA June 26 2014

Amplifaya ni show inayosikika Jumatatu mpaka Ijumaa kupitia CloudsFM kuanzia saa moja usiku mpaka saa tatu ikiwa na mkusanyiko wa stori kumi kubwa za siku za siasa, muziki, michezo na mengine. #AMPLIFAYA #June262014 #10 Vifo elfu 35 vya saratani kwa...
Read More »

Stori 10 za AMPLIFAYA June 24 2014

Kwa sababu kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi nimekuandikia hapa stori zote kubwa za AMPLIFAYA kama ulikua mbali na Radio leo June 24 2014 mtu wangu. Amplifaya ni show ambayo husikika kupitia Clouds FM Jumatatu mpaka Ijumaa saa moja usiku on...
Read More »

Ulikua mbali na Radio? stori 10 za AMPLIFAYA June 23 2014 ziko hapa mtu wangu.

Amplifaya ni show inayosikika Clouds FM kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa saa 1 usiku ikiwa na mkusanyiko wa stori kumi za siku za kisiasa, muziki, michezo na mengine mengi ya maisha. #AMPLIFAYA #June232014 #10 Mwanamke wa Sudan aliekua gerezani baada ya...
Read More »

Stori 10 za AMPLIFAYA June 20 2014

Amplifaya ya Clouds FM ni show ambayo ipo Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku mpaka saa tatu ikiwa na mkusanyiko wa stori 10 kubwa za siku kutoka kwenye siasa, muziki, michezo, maisha na mengine. #AMPLIFAYA #June202014 #10 Alieandikwa kwamba...
Read More »

Stori 10 za AMPLIFAYA June 19 2014 kwako uliezikosa mtu wangu

Amplifaya ni show ambayo inasikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku on Clouds FM ikiwa na mkusanyiko wa stori kumi kubwa za siku kutoka kwenye siasa, michezo, muziki, movies na mengine. #AMPLIFAYA #June192014 #10 Shaffih akiwa Brazil ‘ni ngumu sana...
Read More »

Ulikua mbali na Radio mtu wangu? habari zote 10 za AMPLIFAYA June 17 2014 ziko hapa

Amplifaya ni show ambayo husikika Jumatatu mpaka Ijumaa on Clouds FM saa moja usiku ikiwa na mkusanyiko wa stori kumi kubwa za siku zinazotoka kwenye kona mbalimbali kama siasa, muziki, michezo, maisha na mengine.  #10 Rais Uhuru Kenyatta asema mashambulio...
Read More »

Habari 10 za Amplifaya May 9 2014, Edinson Cavani, katibu mkuu chama kipya cha siasa

Amplifaya ni show inayosikika on Clouds FM Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku kikiwa na mkusanyiko wa habari kumi kubwa za siku za siasa, muziki michezo na mengine. #AMPLIFAYA May9 #10 Wasomali walalamikia kuonewa msako wa magaidi Kenya, Eastlegh...
Read More »

Top 10 ya AMPLIFAYA May 8, Mwanaume muuaji Mwanza, Club tajiri duniani, foleni na ndoa Dsm

Amplifaya ni show inayosikika Jumatatu mpaka Ijumaa on Clouds FM Tanzania ikihusu habari 10 za siku zinazohesabiwa kwenye dakika 120, za siasa, muziki, michezo, movies na mengine mengi ambapo hizi ni za Alhamisi May 8 2014 na unaweza kupata yote...
Read More »

Habari 10 za Amplifaya May 6 2014, waliokufa Kenya, CCM kuhusu UKAWA na mengine

Amplifaya ni dakika 120 za habari kumi za kila aina kwenye countdown ya saa moja mpaka saa tatu usiku kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa on Clouds FM 88.5 Dar es salaam ikiongozwa na mtu wako wa nguvu Millard Ayo.
Read More »
Scroll To Top