Fastjet
Coke Studio
Mwana FA na AliKiba - Kiboko Yangu _ mkito.com
BBA - Vote for Idris
Home » Magazeti

Category Archives: Magazeti Subscribe!


Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo October 30 2014

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo Ni halali yako kupata kila...
Read More »

Story 6 Hot Magazeti ya Leo October29

MTANZANIA Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limewafukuza kazi askari polisi watatu kwa kosa la kupigana hadharani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Fulgence Ngonyani alisema kuwa askari hao walitimuliwa kazi baada ya kupatikana na hatia kwa kukiuka taratibu za...
Read More »

Kila Mtanzania kupata simu ya kisasa bure? nimeiona hii kwenye gazeti

Headline yake tu hii stori kwenye gazeti la Uhuru kwamba ‘Kila Mtanzania kupata simu ya kisasa bure‘ ndio imenifanya nihamasike kusoma kilichoandikwa ndani ambapo kwenye sentensi ya kwanza inasema >> kila Mtanzania atakua na uwezo wa kupata simu ya kisasa...
Read More »

Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo October 29 2014

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo   Ni halali yako kupata...
Read More »

Story 9 Hot kwenye Magazeti ya leo October28

 MWANANCHI Hospitali ya Taifa Muhimbili imepandisha huduma zake hospitalini hapo na sasa mgonjwa atakayelazwa atalazimika kulipia shilingi 5000 kwa siku. Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali hiyo Marina Njelekela alisema Gharama hizo zitalipwa kwa wagonjwa wote wa rufaaa zilianza tangu Oktoba17 lakini...
Read More »

Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo October 28 2014

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo.   Ni halali yako kupata...
Read More »

Story 12 Hot kutoka Magazeti ya leo October27

UHURU Uhaba mkubwa wa dawa na vifaa vya tiba umezikumba hospitali nyingi nchini  zikiwemo Muhimbili na Ocean Road kutokana na Serikali kudaiwa zaidi ya bilioni90 na Bohari kuu ya dawa nchini MSD. Mkurugenzi mkuu wa Shirika lisilo la kiserikali la...
Read More »

Magazeti ya leo October 27 2014,Udaku,Michezo na Hardnews

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo. Ni halali yako kupata kila...
Read More »

Story 6 Hot kutoka kwenye Magazeti ya leo October26

  MWANANCHI Waziri wa zamani wa Nishati na Madini Willium Ngeleja amesema mgawo wa umeme ulioikumba nchi wakati wa uongozi wake ulimpa wakati mgumu na kufanya akose usingizi. Alisema kukosa usingizi huko kulitokana na sababu ya matatizo lukuki yaliyokua yameigubika TANESCO...
Read More »

Magazeti ya leo October 26 2014, Michezo na Hardnews

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo. Ni halali yako kupata kila...
Read More »

Magazeti ya leo October 25 2014 Udaku, Michezo na Hardnews

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo.   Ni halali yako kupata...
Read More »

Story 6 Hot Magazeti ya leo October24

MWANANCHI Hali ni mbaya katika hospitali ya Ocean Road Dar es salaam kutokana na uhaba mkubwa wa dawa. Wagonjwa wengi waliolazwa katika hospitali hiyo kwa nyakati tofauti wamesema wameshuhudia wenzao kadhaa wakipoteza maisha kwa kuwa taasisi hiyo haina dawa za...
Read More »
Scroll To Top