Serengeti Baloziz
NMB Account
Heineken play foosball to win
Home » Michezo

Category Archives: Michezo Subscribe!


Full Time ya Real Madrid vs Barca, Man city vs Sunderland April 16 2014.

Ni game nyingine ambazo zilikua zinasubiriwa sana hasahasa hii ya hawa wa Hispania ambayo iliingia kwenye headlines mara kadhaa baada ya Ronaldo kutangazwa majeruhi ambae hatocheza. Use Facebook to Comment on this Post
Read More »

Msikilize Mbwiga wa April 16.

Taarifa za kimichezo kupitia Sports Extra huwa zinakamilishwa  na mtekenyo wa Mbwiga wa Mbwiguke ambao huzungumzia mechi za kipindi cha nyuma zilivyokuwa zikichezwa pamoja na rekodi zilizowahi kuwekwa na timu hizo. 88.1 Clouds Fm inasikika ukiwa Mwanza. Bonyeza play kusikiliza....
Read More »

Kauli rasmi ya Azam FC kuhusu tuhuma za kununua ubingwa.

Zikiwa zimepita takribani siku nne tangu Azam FC ilipoandika historia ya bingwa wa mpya wa ligi kuu ya Vodacom huku tetesi zikizidi kuzunguka mitaani kwamba klabu hiyo ya jijini Dar es Salaam imekuwa ikihonga sana wachezaji wa timu nyingine pamoja...
Read More »

Alichosema wakala wa mchezaji Toni Kroos kuhusu kuhamia Man United

 Tetesi za usajili wa mchezaji wa FC Bayern Munich Toni Kroos zimezidi kutengeneza vichwa vya habari katika media. Wakati mapema wiki hii kocha wa Bayern Pep Guardiola akisema kwamba hatma ya mchezaji ipo mikononi mwake mwenyewe, leo hii wakala wake amezungumza...
Read More »

Msikilize Mbwiga wa April 15.

Huu ni mtekenyo wa Mbwiga wa Mbwiguke kama kawaida ni taarifa za kimichezo ambazo zilitokea kipindi cha nyuma,hapa unasikiliza taarifa hizo. 104.4 Clouds Fm unaisikiliza ukiwa Dodoma Bonyeza play kusikiliza. Use Facebook to Comment on this Post
Read More »

Full Time ya Arsenal vs West Ham April 15 2014

Mpaka game inaisha Arsenal walikua wana ushindi wa goli 3 huku mbili zikifungwa na Podolski kwenye dakika ya 44 na 78 alafu moja la Giroud dakika ya 55 ambapo goli pekee la West Ham lilifungwa na Jarvis dakika ya 40....
Read More »

Je wajua ushindi wa 3-0 wa Dortmund umetengeneza rekodi ipi kwa Pep Guardiola

Wikiendi iliyopita klabu ya Bayern Munich ilipokea kipigo cha 3-0 kutoka kwa mahasimu wao Borrusia Dortmund katika mchezo wa ligi kuu ya Bundesliga. Kipigo hicho kimekuwa cha pili kwa Bayern Munich msimu huu tangu mwaka 2012, lakini pia kipigo hicho...
Read More »

Hii ndio listi ya vilabu tajiri duniani – Real, Barca, Man U nani katisha????

Real Madrid imeendelea kuwa klabu tajiri duniani. Jarida la Forbes la marekani limeitaja klabu ya Real Madrid kuwa na thamani ya  €3.3 billion, huku klabu ya Manchester United ikishika nafasi ya pili ikiwa na thamani ya €3.16 billion. Kumi 10 bora ya...
Read More »

Jamal Malinzi agoma kujiuzulu uenyekiti wake….

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amesema hatajiuzulu nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Kagera (KRFA) pamoja na kuwa na majukumu ya kitaifa. Katika taarifa yake aliyoitoa mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa...
Read More »

Picha za mashabiki wa Azam FC waliofurika uwanja wa ndege kuisubiri timu yao

Umati wa mashabiki wa Azam FC wamefurika kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Dar es Salaam wakiisubiri timu yao inayotokea jijini Mbeya kuwasili wakiwa wametazwa kuwa mabingwa wapya wa Vodacom Premier League. Azam FC jana...
Read More »

Kama ilikupita, Azam FC ilivyochukua ubingwa.

Mwandishi wa habari za michezo Saleh Ally ameanza kwa kuandika >> yametimia! hakuna kelele tena na Azam FC imefanikiwa kuweka rekodi mpya kwa kutwaa ubingwa wa Tanzania bara kwa mara ya kwanza ambapo iliukosa ubingwa huo mara mbili mfululizo ikishika...
Read More »

Full Time ya Swansea vs Chelsea April 13 2014.

BA ambae hivi karibuni alisema kuna uwezekano akaondoka Chelsea mwishoni mwa msimu kutokana na kutomridhisha Mourinho, ndio kafunga goli pekee la Chelsea leo. Use Facebook to Comment on this Post
Read More »

Scroll To Top