Serengeti Baloziz
NMB Account
Heineken play foosball to win
Home » Nyumba

Category Archives: Nyumba Subscribe!


Kwa wale mnaopenda nyumba za kisasa mnaweza kupata chochote kwenye hizi picha

Nchi za wenzetu zimeendelea na umekua utamaduni wa kawaida kujenga nyumba kwa kutumia vioo kwa asilimia kubwa kwenye madirisha na milango ila kwa bongo hii inakua ngumu. Inawezekana labda gharama za kujenga nyumba kama hizi ikawa ngumu kwako ila huwezi...
Read More »

Picha 6 za nyumba anayomiliki na kuishi mwigizaji mzee Small.

Kama umekua karibu na movie za kitanzania hasahasa za vichekesho najua movie za Mzee Small utakua unazijua sana, umri wake ni miaka 59 kwa sasa ambapo alisimama kuigiza toka May 2013 baada ya kuanza kuugua maradhi ambayo yalisababisha kuzushiwa kifo...
Read More »

Diamond anaendelea na ujenzi, kaweka hizi picha nyingine

Diamond ni miongoni mwa wasanii wa bongofleva ambao wapo kwenye ujenzi wa makazi yao huku wengine tayari wameshamaliza na kuhamia ambapo mmoja wao ni staa wa ‘nani kamwaga pombe yangu’ Madee. Kwenye ujenzi wa nyumba ya Diamond, nguvu zake nyingine...
Read More »

Zile mali za mastaa, mwimbaji Barnaba nae katuonyesha hii ndio nyumba aliyojenga.

Sio kwamba mastaa wa zamani wa bongofleva hawakuwa wanapata chochote kwenye malipo kutokana na kazi zao bali  imefahamika kwamba mipangilio na matumizi mazuri ya fedha havikuzingatiwa sana kwa baadhi ya Wasanii wachache ambao walibahatika kuzipata pesa nyingi zilizotokana na mauzo...
Read More »

P Square sasa kwenye ukurasa mmoja na Usher Raymond, Ludacris na T.I

Siku zote ukisikia Mwafrika yeyote kanunua au anamiliki nyumba Marekani au kwenye nchi yoyote iliyoendelea sana duniani, lazima sehemu ya mawazo yako iwe ni fikra juu ya utajiiri alionao. Basi post hii naitumia kukupa info na pichaz kwamba mastaa wa...
Read More »

Zile picha za nyumba zimerudi millardayo.com ! za nyumba 3 za leo ndio hizi.

Sio kila kinachoonekana hapa kila mtu ana uwezo wa kukipata au kukijenga ila dhumuni la hii post ambayo sasa imerudi na itakua inakujia mara kwa mara kupitia millardayo.com ni kukupa mwanga wa jinsi gani unaweza kuiweka nyumba yako, hata kama...
Read More »

Wale wa Diamond Platnumz, ujenzi wa nyumba yake unaendelea… kapost hii picha leo

Ni staa ambae kila jicho la habari limekua likimuangalia kila wakati, kila anachofanya hata kama ni cha kawaida kimekua ni stori na kinapata wepesi kuwafikia Watanzania bila yeye kuweka nguvu nyingi. Pamoja na kwamba amekua kwenye headlines, Diamond amekua akisifika...
Read More »

Ule msikiti anaojenga mwigizaji Mzee Majuto umefikia hapa sasa hivi.

Pamoja na kwamba alikiri kuingiza mamilioni ya shilingi kila mwezi kutokana na kazi yake ya Uigizaji, Mzee Majuto aliahidi kujenga Msikiti kwenye sehemu ya kiwanja chake nyumbani kwake 96.0 Tanga. Hizi picha hapa chini ni wakati AyoTV na millardayo.com zilipoalikwa...
Read More »

Kama una hii pesa unaweza kuishi kwenye hii nyumba ya Gareth Bale.

Mkali huyu wa soka mwenye umri wa miaka 24 ambae ameihama Tottenham Hotspur na kujiunga na Real Madrid hivyo ameamua kuiuza nyumba yake ya vyumba vitano iliyopo Uingereza kwa £2.2million ili akaanze maisha mengine huko Madrid. Hii ndio ilikua sebule...
Read More »

Unapenda ujenzi wa nyumba za kisasa? picha za 3 kali za leo zilizonivutia ziko hapa

Nyumba ya kwanza hapa chini ilitengenezwa mwaka 1983 huko Brookline, Massachusetts Marekani lakini mwaka 2011 ndio ikafanyiwa marekebisho na kuwekwa kisasa zaidi. Kikubwa nilichojifunza kwenye hii nyumba ni matumizi ya mbao.. Nyumba namba 2 ndio inafata… iko Ugiriki, kikubwa nilichokiona...
Read More »

October 21 2013, hizi ndio picha za nyumba za kisasa kwa leo

Natambua kabisa kwamba sio kila mmoja ana uwezo wa kujenga nyumba ya gharama ila kuna uwezekano pia picha hizi zikakusaidia kupata madini kidogo ya kuitia nakshi nyumba yako kutokana na chochote utakachokiona hapa mfano makochi, jinsi ya kupanga sebule, rangi...
Read More »

Unapenda ujenzi wa nyumba za kisasa? hapa kuna picha za 4 zilizojengwa kisasa

Nakubali kabisa kwamba sio kila mtu ana uwezo wa kutengeneza nyumba za gharama kubwa lakini hata kama una kinyumba kidogo hapa unaweza kupata madini kama vile jinsi ya kutengeneza madirisha, kupangilia sebule, chumba, mazingira ya nje, taa za ndani na...
Read More »

Scroll To Top