Serengeti Baloziz
NMB Account
Heineken play foosball to win
Home » Siasa

Category Archives: Siasa Subscribe!


Baada ya UKAWA kutoka nje ya bunge jana, haya ni 9 ya leo ya Samwel Sitta

Jana April 16 2014 UKAWA wakiongozwa na Profesa Ibrahim Lipumba wakati bunge likiwa katikati waligoma kuendelea nalo na kuamua kutoka nje kwa kile wanachosema ni ubaguzi na matusi pamoja na mapungufu mengine ambayo hawawezi kuyavumilia. Baada ya hayo mwenyekiti wa...
Read More »

Umemsikia Lukuvi leo bungeni kuhusu kauli yake Kanisani na jeshi kutawala nchi?

April 17 2014 Wajumbe walio upande wa (UKAWA) kwenye bunge la katiba wakiongozwa na Profesa Ibrahim Lipumba waligoma na kuamua kutoka nje ya bunge hili hapa Dodoma baada ya Profesa Lipumba kumaliza kuzungumza kwamba hawawezi kuendelea na bunge la matusi...
Read More »

Haya ni 9 ya Zitto Kabwe leo kwenye bunge la katiba. @ZittoKabwe

Bado mjadala unaendelea kuzihusisha sura ya kwanza na ya sita kwenye rasimu ambapo ishu ya uwepo wa serikali mbili na serikali tatu imeendelea kuguswa mara nyingi kipaza sauti kinapowashwa. Yafuatayo ni yaliyozungumzwa na mjumbe Mh. Zitto Kabwe ambae pia ni...
Read More »

Alichosema bungeni Mh. Wassira kuhusu Tundu Lissu

April 16 2014 saa saba kasoro mchana makamu mwenyekiti wa bunge la katiba hapa Dodoma aliwasha kipaza sauti na kuzungumza kuhusu matangazo mawili yaliyomfikia, moja la wageni na la pili ni la hati ya muungano ambayo hatimae imepelekwa bungeni baada...
Read More »

Seif Shariff Hamad kazungumza leo, kauli zake 7 kuhusu Muungano ziko hapa

Amekua mmiliki wa vichwa vya habari kutokana na ripoti mbalimbali ambazo zimekua zikimnukuu kwa kudai kutozitaka serikali mbili lakini leo April 15 2014 amezungumza kwenye maonyesho ya miaka 50 ya muungano ya kuzitoa hizi kauli zifuatazo. 1. ‘Pamoja na milima...
Read More »

Sentensi 12 alizozitoa ktk bunge la katiba Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu) leo na sauti yake.

Wajumbe mbalimbali kwenye bunge la katiba wameendelea kuwasha vipaza sauti vyao kuchangia, kutoa ya moyoni kwa kujadili sura ya kwanza na ya sita huku ishu ya serikali mbili au tatu ikizimiliki headlines zaidi. Zifuatazo ni kauli za mjumbe Mh. Joseph...
Read More »

Sentensi 8 za alichosema bungeni Mh. January Makamba @JMakamba na sauti yake

Bunge la katiba linaendelea hapa Dodoma ambapo wajumbe wake mbalimbali wameindeleza ishu ya uwepo wa Serikali tatu na wengine serikali mbili ambapo yafuatayo kwenye post hii ni aliyoyasema Mh. January Makamba. 1.  ‘Kama tunataka kuuvunja muungano wetu ndani ya mwaka...
Read More »

Mch. Mtikila, Aden Rage, Zakia Megji na Mkosamali wakizungumza kwenye bunge la katiba.

Kuna uwezekano ni hupendi kupitwa na bunge la katiba linaloendelea sasa hivi Dodoma lakini kwa sababu ya majukumu uliyonayo unakuta tu linakupita…. millardayo.com inafanya kazi ya kuchukua kilichosemwa kwenye bunge hili na kukupatia nafasi ya kukipata kwa wakati unaotaka. Hizi...
Read More »

Samwel Sitta baada ya bunge kuahirishwa ghafla leo, MCT kuhusu TBC je?

Leo kikao cha bunge maalum la katiba kimeshindwa kuendelea baada ya kukatika kwa matangazo ya moja kwa moja kupitia televisheni ya Taifa na kulalamikiwa na wajumbe kundi la wachache wanaotaka serikali tatu ambapo taarifa yao ya kamati namba nne ndio...
Read More »

Sentensi 12 za alichosema Juma Duni Haji kwenye bunge la katiba leo.

Juma Duni Haji akiwasilisha maoni ya wachache kutoka kwenye kamati namba 11 ambapo alianza kwa kusema >>> ‘hoja za wengi ni muundo serikali ya shirikisho kuua udugu, kwani kabla ya muungano hatukua na udugu’ Kuna wajumbe wanasema kuirudisha serikali ya...
Read More »

Picha 5 na video ya Wabunge wakipigana ndani ya bunge Ukraine.

Ni kawaida ya Wabunge kupishana maneno wawapo bungeni na hii hutokea kwenye mabunge mbalimbali duniani ila ni mabunge machache ambayo yanarekodi ya kufikia mpaka kupigana, nakumbuka Somalia wapo kwenye hiyo list ila time hii Ukraine ndio wanamiliki headlines. Use Facebook...
Read More »

Matokeo ya awali jimbo la Chalinze.

Haya ni Matokeo ya awali kwa baadhi ya vituo kutoka jimbo la Chalinze ambayo matokeo yao yanaonyesha kuwa mgombea ubunge jimbo hilo kupitia wa CCM Ridhiwani Kikwete anaongoza kwa sasa. Kazi ya kuhesabu kura katika Jimbo la Chalinze bado inaendelea...
Read More »

Scroll To Top