Update vita vya Ukraine – Urusi :Ukraine yadungua ndege 9 kati ya 10 za Urusi
Ukraine imeangusha ndege tisa kati ya 10 za Urusi za Shahed zilizotengenezwa…
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa yaipeleka Israel ICC kwa mashambulizi ya Gaza
Afrika Kusini imewasilisha rufaa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kwa ajili…
Mafuriko: Takriban watu 111 wamekufa na 700,000 kukimbia makazi yao katika Pembe ya Afrika – NGO
Takriban watu 111, wakiwemo watoto 16, wamekufa na 700,000 wamekimbia makazi yao…
Kiongozi mkuu wa serikali ya Niger aunda chombo cha kupambana na ufisadi
Mkuu wa kijeshi wa Niger, ambaye aliingia madarakani katika mapinduzi ya Julai,…
Korea:Wanaharakati waandamana kwa viatu kuomba kusitishwa vita Gaza
Maandamano ya kutaka kusitishwa kwa mapigano huko Gaza yanaongezeka kote duniani. Nchini…
Zingatieni uadilifu, kataeni rushwa’ Dkt. Dotto Biteko naibu waziri mkuu
Naibu waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Dotto Mashaka…
Familia za mateka wakiandamana kwenda Yerusalemu…
Familia za wale waliochukuliwa mateka katika shambulio baya la Hamas mnamo Oktoba…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 17, 2023
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 17. 2023,nakukaribisha kutazama…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 17, 2023
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 17,…
Yanga SC kwenye viwango vya klabu bora Duniani yashika namba 4 huku mpinzani wake Simba namba 12
Shirikisho la Kimataifa la Historia ya mpira wa miguu na takwimu Duniani…