Fastjet
Home » Vituko/Comedy

Category Archives: Vituko/Comedy Subscribe!


Uliiona hii ya Mwanamke ndani ya super market?

Tumezoea kuona watu wakiiba kwenye supermarket lakini mara nyingi mbinu zao za wizi huwa ni zilezile tulizozoea kuziona ambapo pamoja na kuipata hii video naendelea kufatilia kujua mengine ya ziada baada ya hii ambayo nilitumiwa Whatsapp ya Mwanamke huyu aliejaribu...
Read More »

Usingizi ni noma… huyu jamaa wa Japan naye alitia fora.

Usingizi ni kitu kingine ambacho kinaweza kuwa kigumu kukizuia pale kinapotaka kuchukua nafasi yake, sio ajabu kukutana na mtu kasinzia kwenye daladala, ofisini au darasani ambao wengi tumewaona wakisinzia wamekaa ila huyu jamaa wa Japan ndio alitisha. Kazi yangu ni...
Read More »

Na hii ni nyingine tena! Wasanii walioandamana nusu uchi Nairobi Kenya

Siku hizi ishu ya kuvua nguo kuonyesha msisitizo au kulipigia kelele jambo flani imekua kawaida, yani wengi wameitumia hii njia kufikisha malalamiko yao na mfano mzuri ni hivi karibuni kwa Wanafunzi wa kike kwenye shule ya sekondari ya Wasichana Tabora...
Read More »

Jeshi la Uganda lime-take over! sasa ndio litaandaa shindano la Miss Uganda.

Toka nimeanza kuandika na kufatilia habari sijawahi kusikia jeshi la nchi limechukua hatamu kuendesha mashindano ya urembo tena mashindano yanayokutanisha warembo kutoka sehemu mbalimbali za taifa ili kumtafuta mshindi. Stori hii ya kipekee inatokea Uganda ambapo jeshi la nchi hiyo...
Read More »

Kutana na vichekesho vya Peter Msechu na Baba Levo baada ya kukosa show.

Peter Msechu na Baba Levo ni wasanii kutoka mkoa wa Kigoma na wote wawili wana sifa ya kuwa wachekeshaji sana. Wasanii wengi wanajua kwamba ukipanda tour bus na wawili hawa basi ni kama unaangalia show ya comedy njia nzima ya...
Read More »

Uliipata hii ya Wanafunzi Kenya kupelekwa Mahakamani baada ya kukutwa wamelewa?

Sio kitu kigeni kuona watu wenye umri zaidi ya miaka 18 wanakunywa Pombe wanalewa na hata pombe hiyo kugharimu maisha yao ila sio kawaida kukutana ama kuona mtoto wa miaka kati ya 14-17 ni mlevi wa kupindukia na mtumiaji pia...
Read More »

Msg 3 nimekutana nazo Whatsapp!

Whatsapp ni sehemu nyingine kubwa inayotumika kama mawasiliano na mamilioni ya watu duniani, sehemu ambayo inakuruhusu kumtumia mwenzio video, picha, sauti na mengine. Ipi kati ya hizi ni namba 1 kwako? Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu,...
Read More »

Eti hii hutokea pale wimbo unaoupenda unapokukutia kwenye gari?

Kwenye hii dunia ya sasa ukishinda kwenye internet unaweza kukutana na mambo mengi sana ya kuchekesha au kufurahisha kama hii video ya kwanza ambayo eti jamaa wanasema huwa inatokea pale uko kwenye gari alafu wimbo unaoupenda unachezwa kwenye Radio.
Read More »

Kwenye vile visa vya mapenzi na simu… hii nayo ilivunja rekodi

Kuna zile habari ambazo hata ziwe zimetokea miezi au miaka mingapi nyumba, huwezi tu kuzisahau kwa sababu sio za kawaida kuzisikia au kuzishuhudia kabisa. Tumekua tukisikia visa vingi sana vinavyotokana na mapenzi, yani pale Mwanamke au Mwanaume anakuta msg za...
Read More »

Uliiona hii ya Joti baada ya Mkwe kumkatalia kuoa binti yake?

Jina lake lenye herufi nne ni miongoni mwa majina makubwa kwenye uigizaji wa vichekesho nchini Tanzania akiwa anatoka kwenye kundi la Orijino Komedi. Tazama alichofanya hapa chini baada ya kukataliwa kumuoa binti aliemzimia. Unavyomfahamu Joti, hiki kichekesho unakipa namba ngapi...
Read More »

Mchekeshaji Kansiime anavyotengeneza pesa Kenya.

Kansiime Anne ni mchekeshaji kutoka Uganda ambae amesomea Sayansi ya saikolojia kwenye chuo kikuu cha Makerere Kampala Uganda ambako alianzia kuchekesha kama utani kusambaza video zake mitandaoni lakini kwa sasa anaingiza mamilioni baada ya kukubalika kwenye nchi za Afrika Mashariki...
Read More »

Hii ni kutoka Kenya,mwingine nae avua nguo mahakamani.

Hizi ni stori ambazo ukizisikia unaweza kushtuka kuona mtu anawezaje,sasa Unaambiwa kutoka katika mahakama kuu jijini Eldoret Nchini Kenya kuna mwanamke aliamua kuvua nguo ili kupinga uamuzi wa jaji kwenye kesi yake. Kesi iliyokuwa ikimkabili mwanamke huyo ilikua ikuhusu mzozo...
Read More »
Scroll To Top