Tangaza Hapa Ad

VideoFUPI: Mwizi wa laptop na simu alivyodhibitiwa na Polisi Arusha


Leo Alhamisi ya October 12, 2017 Jeshi la Polisi Arusha limefanikiwa kumkamata na kumdhibiti mtu mmoja anayefahamika kwa jina la John Oloto ambaye anatuhumiwa kwa wizi wa laptop nne, mabegi ya akina mama na simu zaidi ya tano katika Ofisi za Jiji la Arusha.

Wakili aliyejitokeza kumuunga RAIS JPM uteuzi Katibu wa Bunge

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement