Top Stories

HEKAHEKA: Kilichomkuta mwanamke aliyemkata mtoto wa jirani na WEMBE

on

Kupitia HEKAHEKA ya Clouds Fm leo January 3, 2017 Mtangazaji Geah Habib ametuletea hii inayomuhusu mwanamke mweye tabia ya kupiga watoto wa majirani zake ambapo inadaiwa amemkata na wembe mtoto wa jirani yake baada ya mtoto huyo kumkata mwanae kisha na yeye kumrudishia kwa kumkata na wembe.

Baada ya mwanamke huyo kufanya kitendo hicho kimesababisha majirani kuja juu na kutaka kumpiga huku wakisema kuwa ni kawaida yake yeye kufanya hivyo na amekuwa akiwapiga watoto wa majirani zake wanapoenda kucheza kwake, kutokana na tukio hilo majirani walijaa kwake wakitaka kumpiga kitu kilichosababisha Polisi kufika eneo la tukio.

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza FULL STORY..

HEKAHEKA: Mwanamke aliyepokonywa mtoto wa miezi 10 mpaka leo ana miaka mitatu

Soma na hizi

Tupia Comments