Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Kama ulifikiwa na taarifa za CCM kuwateua Steven Wassira na Makongoro

on

December 11 2016 kumekuwa na taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba kamati kuu ya Chama cha mapinduzi (CCM) imefanya uteuzi wa wajumbe wa Sekretarieti akiwemo Steven Wassira kuwa Msemaji wa chama.

Taarifa hizo zilisema pia kwamba Makongoro Nyerere ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara huku Peter Maduki akipewa nafasi ya muweka hazina.

Ukweli ni kwamba CCM haijafanya uteuzi huo, wamekanusha muda mfupi uliopita kwa kusema ‘Taarifa inayosambazwa kwenye mitandao kuhusu uteuzi wa wajumbe wa Sekretarieti sio sahihi, kamati Kuu haijafanya uteuzi wa mjumbe yeyote

VIDEO: Tazama hapa chini Makomando wa Tanzania walivyoonyesha uwezo mbele ya Rais Magufuli kwenye siku ya UHURU.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement