Top Stories

“Nikibaini kiongozi anakataa kupitisha barua nitamshugulikia” –Waziri Mkuchika

on

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora George Mkuchika ameagiza mamlaka zote za Serikali za ajira nchini wakiwemo viongozi wanaowakatalia watumishi  kupitisha barua za kuhama ikiwa ni kinyume na sheria za utumishi.

Naomba nitoe maagizo haya kwa mamlaka zote za Serikali za ajira katika nchi hii, malalamiko makubwa waliyonayo watumishi wa Umma ni kwamba anapoandika barua za uamisho viongozi wao wanawakatalia. Mimi ndio Waziri wa utumishi wa Umma na nikibaini kuna kiongozi anakataa kupitisha barua isinifikie nitamshugulikia

Swali la Proffesor Jay baada ya Mafuriko jimboni kwake

Soma na hizi

Tupia Comments