Habari za Mastaa

Chege katoa video ya ‘chapa nyingine’ na imfanywa na Adam Juma aisee, Diamond, Madee ndani.. iko hapa

on

Screen Shot 2014-01-02 at 6.14.42 PMHii ndio inakua video ya kwanza kuifikia AyoTV toka mwaka 2014 uingie…. iliwahi kuripotiwa kwamba Adam Juma wa Visual Lab hatofanya tena video za bongofleva lakini mkali huyu ndio kaifanya na hii na sasa hivi kabadili mtindo wa kuandika jina lake ambalo mwanzoni watu walizoea ni Visual lab.

Jionee mwenyewe video baada ya hii picha hapa chini.

Screen Shot 2014-01-02 at 6.12.32 PM

Tupia Comments