Biko


Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Baada ya kumuona HarmoRapa naambiwa huyu ndio ChibuRapa pacha wa Diamond

on

Siku sio nyingi  tangu story za jamaa aliyefananishwa na mwimbaji Harmonize zisambae kwenye mitandao ya kijamii. Akiwa kama msanii  aliyepewa jina la Harmorapa kwakuwa yeye ni rapa na sio mwimbaji kama ilivyo kwa Harmonize.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Harmonize amepost picha ya kijana mwenye muonekano kama wa Diamond Platnumz kuanzia pozi mpaka style ya nywele na kwenye caption akaandika Chibu rapa.

Video: Harmorapa aongea ukweli kuhusu undugu na Harmonize, Wolper wake je?>>>

Tupia Comments

Advertisement