Tangaza Hapa Ad

VideoMPYA: Chidinma anakualika kuitazama video hii ‘Fallen in Love’


Mwanadada msanii kutokea Nigeria, Chidinma anayefahamika kama ‘Miss Kedike’ ambae ameshafanya collabo na rapper wa Tanzania Joh Makini kwenye single ya ‘Perfect Combo‘ amerudi tena kwenye air waves na ngoma yake mpya ya ‘Fallen in Love’.

Nimekuwekea video ya mdundo huo hapa chini bonyeza play uweze kuitazama …

VIDEO: Ile nyumba ni yangu sio ya Diamond’- Mama Diamond Platnumz , nimekuwekea hapa chini audio isikilize.

 

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement