Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Ni time ya kuenjoy video mpya ya Chinbees ‘Zuzu’

on

Msanii kutokea Bongoflevani Chinbees ambae ameshafanya collabo na mastaa wakubwa kwenye music industry ya Tanzania akiwemo Nikki wa Pili kwenye mdundo wa ‘Sweet Mangi’ hivi karibuni aliachia mdundo wake uliobeba title ya ‘Zuzu’  uliotayarishwa na Producer Luffa kutoka Switch Records, Chin Beez ameifanya video ya Zuzu.

Nimeshakuwekea hapa. 

VIDEO: Ulimiss kuitazama Perfomance ya Weusi na Vanessa Mdee kwenye stage za Fiesta Dar? unaweza kuitazama nimekuwekea hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement