Tangaza Hapa Ad

Michezo

Kama uliikosa mechi ya Chelsea vs Man UTD Jan 19, nimekuletea hii video ya magoli yote

on

Hii picha kuna watu wameionganishia zengwe tu lakini sio ya ukweli aisee

Hii picha kuna watu wameionganishia zengwe tu lakini sio ya ukweli aisee

Samuel Eto’o ndio alizifunga goli zote tatu za Chelsea kwenye mechi na Manchester United January 19 2014 ambapo wakali wa Moyes walifunga moja tu.

Kuna uwezekano hukupata nafasi ya kutazama mechi yenyewe ndio maana nimeishusha hii video ya magoli hapa chini kwa ajili yako mtu wangu…………. usisite pia kujiunga na mimi kwenye https://www.facebook.com/millardayo https://twitter.com/millardayo na http://instagram.com/millardayo ili uwe karibu na kila stori inayonifikia mtu wangu.

Tupia Comments

Advertisement