Tangaza Hapa Ad

Duniani

PICHA 9: Magari yanayotumia umeme yanayotengenezwa China kuingia sokoni hivi karibuni

on

Tunafahamu kuwa teknolojia inakuwa kila siku hasa katika nchi zilizoendelea ambapo China ni moja ya nchi hizo, Headlines zimetolewa na kituo kikubwa cha habari CNN kuripoti kutengenezwa kwa magari next level na kampuni ya NextEV ya China ambapo ni magari yanayotumia umeme na sio mafuta kama ilivyozoeleka.

Magari hayo yanatumia battery ambazo zinachajiwa na umeme na kukaa na charge ndani ya muda fulani na kutajwa kama magari yenye speed kubwa yanayotumia umeme kuliko yote duniani na kutegemewa kuingia sokoni hivi karibuni , nakusogezea picha za magari hayo hapa chini ujionee.

161202090402-next-ev-11-exlarge-169

Ferrari Laferrari

161202090413-next-ev-10-exlarge-169

McLaren’s P1

161202090456-next-ev-9-exlarge-169

Porsche

161202091900-next-ev-8-exlarge-169

Qiantu

161202092142-next-ev-7-exlarge-169

Qiantu

161202092218-next-ev-6-exlarge-169

TechRule’s AT96 TREV

161202092901-next-ev-3-exlarge-169

BAIC ArcFOX-7

161202092932-next-ev-2-exlarge-169

NIO EP9

161202093032-next-ev-1-exlarge-169

NIO EP9

VIDEO: Idadi ya magari yanayotumia private number Arusha imetajwa, Bonyeza Play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement