Tangaza Hapa Ad

Miji/Nchi

PICHA: Majiji 20 yanayoongoza kwa kutembelewa zaidi duniani

on

Leo September 26, 2016 mtu wangu nafahamu utakua unayajua majiji mengi kutoka kwenye nchi tofauti tofauti na huenda umeshatembelea huko au kwa kuyaona kwenye picha, Sasa leo nakusogezea hapa list ya Majiji yaliyotajwa na taasisi ya The Mastercard’s Global Destination Cities Index ikiyaweka kwenye majiji yanayotembelewa zaidi duniani.

List hii imetoka baada ya kukusanya taarifa za majiji hayo za miaka Saba kuanzia mwaka 2009 mpaka 2016. Bara la Asia limechukua headlines kwa kuingiza Majiji 11, wakati hakuna jiji lolote lililoingia kutoka Bara la Afrika.

Hii ndio List kamili ya majiji 20 yaliyotajwa kutembelewa zaidi duniani.

20. Prague, Jamhuri ya Czech

Jiji hili limetajwa katika nafasi ya 20 likiwa idadi ya watu Milioni 5.81 wanaolitembelea kika siku.

19. Shanghai, China

Hutembelewa na watu Milioni 6.12 kwa siku.

18. Vienna, Austria

Hutembelewa na watu Milioni 6.69 kila siku.

17. Osaka, Japan 

Hutembelewa na watu Milioni 7.02 kila siku.

16. Roma, Italy

15. Taipei, Taiwan

Hutembelewa na watu Milioni 7.35 kila siku.

14. Milan, Italy

Hutembelewa na watu Milioni 7.65 kila siku.

13. Amsterdam, Uholanzi

Hutembelewa na watu Milioni 8 kila siku.

Amsterdam Nederland Amsterdam Netherlands city night sunset home church cathedral buildings roofs roads cars street lights exposure

12. Barcelona, Hispania

Hutembelewa na watu Milioni 8.2 kila siku.

11. Hong Kong, China

Hutembelewa na watu Milioni 8.37 kila siku.

10. Seoul, Korea Kusini

Hutembelewa na watu Milioni 10.2 kila siku.

9. Tokyo, Japan

Hutembelewa na watu Milioni 11. 7 kwa siku.

8. Istanbul, Uturuki

Hutembelewa na watu Milioni 11.95 kila siku.

7. Kualar Lumpur, Malaysia

Hutembelewa na watu Milioni 12.02 kila siku.

6. Singapore

Hutembelewa na watu Milioni 12.11 kila siku.

Singapore city night

5. New York, Marekani

Hutembelewa na watu Milioni 12.75 kila siku.

4. Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu

Hutembelewa na watu Milioni 15. 27 kila siku.

3. Paris, Ufaransa

Hutembelewa na watu Milioni 18.03 kila siku.

2. London, Uingereza

Hutembelewa na watu Milioni 19.88 kila siku.

1. Bangkok, Thailand

Hutembelewa na watu Milioni 21.47 kila siku.

ULIMISS MTOTO ALIYELAZIMISHWA KUOLEWA JINSI ALIVYOTOKA? TAZAMA VIDEO HII

 

 

 

Tupia Comments

Advertisement