Habari za Mastaa

TRAILERS:Movie 5 utazikuta Cinema Dar es salaam April 21

on

Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend na good news ni kwamba kama upo Dar es salaam leo April 21, 2017 kuna hizi movie utazikuta kwenye screen, tazama Trailers zake hapa chini

John Wick

Noor

Fast & Furious 8

Born Leader

Naam Shaban 

ULIIKOSA HII YA MSANII LULUDIVA AKIWA SOUTH AFRICA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments