Top Stories

‘Tusikutane katika misiba, tungeweza kuchelewesha vifo vya Maria na Consolata’ Mwenyekiti Iringa

on

Leo June 8,2018 Tunayo story kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Iringa, Albert Chalamila ambapo amesema watu waache unafiki wa kukutana misibani bali ushirikiano uanzie hata kwenye ugonjwa.

Pia Chalamila amesema vifo vya Maria na Consolata iwe funzo la kuhamasisha watu wawe wawazi na kufanya ushirikiano katika hatua za awali badala ya msibani.

Tazama LIVE mapya aliyoibuka nayo Dr. Shika akizungumza na Waandishi ‘Tutaelewana’

 

Soma na hizi

Tupia Comments