Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: Chege na Nandy wametuletea hii mpya inaitwa ‘Kelele za Chura’

on

Mabibi na mabwana bado tunaendelea kuzipata ladha mpya za muziki wa bongofleva ambapo leo tunao mbele yetu Chege Chigunda na Nandy kwenye hii video mpya ambayo imeongozwa na Director Destro, ukishaitazama hapa chini usiache kusema chochote kwenye comment

UMEPITWA? Harmorapa kapewa gari na Management yake, bonyeza hapa chini kumtazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement